Waziri wa Ujenzi ,Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo na mkuu wa wilaya ya Same ,Herman Kapufi wakati
akifanya ukaguzi wa barabara kutoka Korogwe/Mkumbara hadi Same yenye urefu wa Kilomita 172, inayojengwa kwa fedha za mkopo kutoka benki ya dunia (WB).
| Waziri wa Ujenzi Dkt ,John Magufuli akizungumza na wakandarasi kutoka kampuni ya Dot Services ya nchini Uganda inayo jenga barabara ya Korogwe/Mkumbara hadi Same. |
| Waziri wa Ujenzi Dkt Magufuli akizungumza jambo wakati alipokutana na watenadji wakuu wa kampuni ya Dot Services wanaojenga barabara ya Korogwe/Mkumbara hadi Same. |
| Msafara wa Waziri wa Ujenzi Dkt John Magufuli wakati akikagua barabara mbalimbali katika wilaya ya Same |
No comments:
Post a Comment