WANANCHI WENGI WAFURIKA KATIKA BANDA LA NSSF LILILOPO KATIKA VIWANJA VYA TCC CHANGOMBE

1

Meneja Kiongozi wa Idara ya Uhusiano na Huduma Kwa wateja Bi. Eunice Chiume akitoa maeleo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Shirika katika viwanja vya TCC Club Changombe. Kulia ni Afisa Mwandamizi wa Idara ya Uhusano na Huduma Kwa wateja.
4
Afisa wa NSSF(Ramadhani Jumbe) akimwandikisha mwanachama mpya katika Banda la NSSF katika wiki ya huduma kwa Wateja NSSF clinic.
2
Timu ya NSSF inayoshiriki kutoa Huduma na elimu mbalimbali  kwenye NSSF CLINIC wakiwa katika picha ya Pamoja kwenye Banda lao katika viwanja vya TCC club Changombe.

Comments