Sehemu ya umati wa wanachama wa VIKOBA mkoa wa Arusha wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF).Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni “Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli.
Maafisa kutoka Mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF)wakifuatilia kwa makini Kongamano la Vikoba lililofanyika katika ukumbi wa Olasiti garden na kudhaminiwa Mfukohuo.Kauli mbiu ya Kongamano hilo ni “Vikoba Chachu ya Maendeleo ya Kweli”.
Comments