STARA T AACHIA WIMBO WA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Msanii Stara T, ametoa wimbo mpya UWEZESHWAJI WA MWANAMKE ambao ni maalum kwa ajili ya siku ya kinamama dunia inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka.

Comments