Waziri Lukuvi akagua miradi ya NHC Kawe City, Eco Residences na nyumba za makazi ya NHC Ubungo na Mindu

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi akizungumza na mmoja wa wadau wananchi walionunua nyumba za Shirika hilo Mindu Upanga, Dar es Salaam, Alex Mgongolwa nyumbani kwake, Mindu akishuhudiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria NHC, Martin Mdoe
 Nyumba za NHC Mindu Upanga zinavyoonekana kwa karibu.
 Mwenyekiti wa Umoja wa Wenye nyumba walionunua Nyumba za NHC Mindu Upanga, akimweleza Waziri Lukuvi jinsi alivyofaidika na nyumba hizo.

Waziri lukuvi akitembelea nyumba za NHC Mindu.

  Jengo la Nyumba za NHC Mindu Upanga zinavyoonekana kwa umbali.
 Wakurugenzi wa NHC, Felix Maagi wa pili kushoto, Raymond Mndolwa na Hamad Abdallah wakishuhudia mojawapo ya nyumba ya makazi ya Eco Residence Hananasif Kinondoni, Dar.
 Waziri Lukuvi akikagua mradi wa nyumba wa NHC Eco Residences.
 Waziri Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter wakati Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu akishuhudia.
 Waziri lukuvia akifuatilia mradi huo wa Eco.

Jengo la Eco Residences likiwa katika hatua za mwisho kumalizika kwajili ya kukabidhiwa kwa wamiliki wake
 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Susan Omari akifutilia ziara ya Waziri Lukuvi, wengine ni Simon Luoga, Muungano Saguya na Lilian Reuben wa NHC.
 Waziri Lukuvia akikagua nyumba za NHC Ubungo.
Waziri Lukuvia akikagua nyumba za NHC Ubungo.
 
Waziri Lukuvia akikagua nyumba za NHC Ubungo.
Eneo la Kawe City likiwa linaandaliwa kwaajili ya ujenzi wa nyumba za ghorofa.


Waziri lukuvi akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa Kawe City.

Waziri lukuvi akisikiliza maelezo kuhusu mradi wa Kawe City.

Comments