Ujumbe
wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukiwa eneo la
Unyankumi na kupewa maelezo ya mradi wa nyumba za gharama nafuu na
Meneja wa NHC Mkoa wa Singida Bw. Ladislaus Bamanyisa ulipotembelea
mradi huo kukagua ujenzi wake.
Mkurugenzi
Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akikagua nyumba za gharama nafuu eneo
la Unyankindi Singida na kukuta mmoja wa wanunuzi wa nyumba hizo akiwa
amejenga ukuta usiolingana na viwango vilivyowekwa na NHC katika miliki
zake inazojenga.
Ujumbe
wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukitembelea jengo
la NHC lililoungua mwaka jana mjini Singida ambapo Shirika linajenga
upya jengo jingine katika kiwanja hicho kilichoko katikati ya mji huo.
Comments