Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mhe Zitto Zuberi Kabwe (pichani) ametangaza rasmi Bungeni Dodoma kuachia kiti hicho alichokipata kupitia CHADEMA.Barua yake ya kung’atuka ubunge kupitia chama cha CHADEMAMhe.Zitto Kabwe akiongea na waandishi wa Habari usiku wa kuamkia leo mara baada ya Kuwaaga Wabunge Baada ya kuwasomea barua aliyomwandikia Mhe.Spika ya Kung’atuka Ubunge baada ya kuvuliwa Uanachama na chama chake cha CHADEMA
Comments