Raisi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za binadamu Jaji Agustino Ramadhani Akihutubia mkutano wa Haki za binadamu uliofanyika juzi jijini Arusha lengo la kuimarisha haki za binadamu na kushirikisha taasisi binafsi na za serikali katika kuisaidia Mahakama hiyo .
Picha na mahmoud ahmad arusha
Comments