Wednesday, March 25, 2015

TANZANIA NA KENYA YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA KUKOMESHA BIASHARA HARAMU YA MAZAO YA MISITU

003
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness
Mkamba Akifafanua jambo  baada ya kutia saini makubaliano kati ya
Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya mbao pamoja na mazao
ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi hizo katika mkutano
uliofanyika jijini Arusha na Kuandaliwa na Shirika la kimataifa
la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife Foundation (WWF) ambao
ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo pamoja na shirika la
TRAFFIC .Picha picha zote na mahmoud ahmad arusha.
001
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mazingira na Maliasili  nchini Kenya Richard
Lusiambe (wakwanza kulia) akiongozana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya
Misitu  na Nyuki nchini Tanzania Gladness Mkamba mara baada ya kutia
saini makubaliano ya Tanzania na Kenya kupiga vita biashara haramu ya
mbao pamoja na mazao ya misitu inayofanyika kupitia mipaka ya nchi
hizo katika mkutano uliofanyika  jijini Arusha na Kuandaliwa na
Shirika la kimataifa la kulinda wanyama na viumbe hai World Wildlife
Foundation (WWF) ambao ni waandaaji  na washirika  wa makubaliano hayo
pamoja na shirika la TRAFFIC .
002
Viongozi kutoka serikali ya Tanzania na Kenya pamoja na Mashirika
binafsi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutia saini
makubaliano kati ya Tanzania na Kenya  kupiga vita biashara haramu ya

No comments: