MATUKIO BUNGENI MJINI -DODOMA

001
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akisoma Muswada wa Sheria ya Udhibiti na Umamizi wa Dawa za Kulevya wa mwaka 2014 , Bungeni mjini DOdoma Machi 24, 2015
002
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba Bungeni mjini Mjini Dodoma Machi 24, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
003
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo na waandishi wa habari kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Machi 24, 2015. Kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha, Adam Malima.

Comments