Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameanza ziara ya kikazi ya siku 9 mkoani Dodoma akizna na wilaya ya Mpwapwa kabla ya kuendelea na wilaya zingine na mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi kulia katika picha ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji katika mji wa Mpwapwa Bw. Shadrack Matemba.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MPWAPWA).
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji katika mji wa Mpwapwa Bw. Shadrack Matemba akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Mh. Adam Kimbisa mara baada ya kukabidhi orodha hiyo ya wadaiwa sugu wa bili za maji kwa Mkuu wa mkoa wa Galawa ambaye anaonekana akiipitia orodha hiyo.

















No comments:
Post a Comment