BENKI YA CBA YATOA MSAADA WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 3 KWA SHULE YA SINGISI ARUSHA

IMG_8466
Meneja Masoko wa bank ya CBA  Bw. Sollomon Kawiche akisoma hutuba wakati walipokuja kutoa msaada hundi ya fedha Shiling Million Tatu na laki Nane katika Shule ya msingi na Ufundi Singisi kwa ajiliya kununua vifaa vya umeme vya kujifunzia kwa wanafunzi wa ufundi shulen hapo. Aliyeko kulia ni mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Singisi Janeth Ayo na watatu kulia ni meneja  wa Kanda CBA Juliana Mwansuva(Picha na Jamiiblog)
IMG_8493
Meneja wa Kanda wa Bank ya CBA Juliana Mwamsuva akimkabidhi Mwalimu mkuu washuleya msingi singisi  Janet Ayo Chek ya shiling Million tatu na laki nane kwaajili ya kununua vifaa ya umeme kwawanafunzi wa ufundi shulen hapo.aliyekokushotoni meneja masoko Sollomon Kawiche
IMG_8486
Diwani wa Kta ya seela Singisi Mh Peter kiungai akimkabidhi cake Meneja masoko wa bank ya cba kama ishara ya pongezi ya kutoamsaada shuleni hapo
IMG_8490
IMG_8463(1)
Kikundi cha utamaduni cha wanafunzi katika shule ya Msingi Singisi kikitumbuiza mbele ya ugeni uliokuja kutoa msaada shuleni hapo.

Comments