WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AKUTANA NA UONGOZI WA KAMPUNI YA CHINA MERCHANT GROUP

2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi  2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
3
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana   na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia)  na balozi wa China nchini, Lu Youqing baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo  Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li Xiaopeng , Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 26,  2015. Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akiwa katika picha ya pamoja    na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia kwake ) pamoja na ujumbe wake  na balozi wa China nchini, Lu Youqing (kushoto kwake ,baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo  Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
6
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li Xiaopeng (watatu kushoto ) pamoja na ujumbe wake  na balozi wa China nchini, Lu Youqing ( kushoto kwake) ,baada ya mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo  Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais jakaya Kikwete , Ikulu jiji Dar es salaam Machi 25, 2015 kwa viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments