Saturday, March 21, 2015

PINDA AKIWA BUSEGA NA BUNDA

unnamed2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bw. Sanya William ambaye ni mlemavu  na wanawe Mussa, Nasma na Dickson baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Bunda alikonda kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji  wa Bunda ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji Machi 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)unnamed3 Waziri Mkuu, MizengoPinda akisalimiana na Viongozi wa  wilaya ya Busega  mkoani Simiyu wakati aliposimama kwa muda mfupi kwenye makazi ya Mkuu wa wilaya hiyo akiwa njiani kwenda Mwanza akitokea  Bunda alikoweka jiwe la Msingi la Mradi wa maji wa Bunda Machi 20, 2015.Kushoto ni Mkuu wa  Wilaya Busega, Paul Mzindakaya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
unnamedJiji la Dar

No comments:

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AMALIZA ZIARA YA SIKU MOJA MKOANI MBEYA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb), leo ameondoka Mkoani Mbeya baada ya kukamilisha zi...