Thursday, March 05, 2015

CFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza,kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts,  Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya
uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya mercedece benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya mercedece benz GCL classjijini arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.
 

No comments:

Uwanja wa Ndege wa Kisasa Mikumi Kukamilika Novemba

Na Mwandishi Wetu, Morogoro  Katika kufungua miundombinu zaidi ya utalii nchini, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu ...