Kila anayejaribiwa jimboni kwenu anakuja kujifunza badala ya kutatua matatizo yao, Chagueni CCM kwa sababu itakuwa ni kiunganishi chenu katika maendeleo ya Vunjo. Diwani wa CCM, Mbunge wa CCM na Rais wa CCM kitakuwa ni kiunganishi kizuri kwenu kupiga hatua za maendeleo, tofauti na wapinzani ambao hawawezi kwenda kwa waziri, Waziri Mkuu na hata Rais kuomba msaada kushughulikia matatizo yenu kwa sababu kazi kubwa wanayofanya ni kutukana viongozi (PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-VUNJO-KILIMANJARO).
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Kada wa CCM mkoani Kilimanjaro Bw. Innocent Shirima wakati alipopokelewa na viongozi wa jimbo la Vunjo katika kata ya Kahe Magharibi mkoani Kilimanjaro













No comments:
Post a Comment