WANAFUNZI ELIMU YA JUU KUTOKA VYUO MBALIMBALI KANDA YA KASKAZINI WAMUOMBA PROF.MUHONGO KUGOMBEA URAIS 2015
UMOJA wa Vyama vya wanafunzi Elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjarona ,Arusha ,wajitokeza kumshawishi Prof. Sos peter Muhongo Kugombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog)
Akizungumza kwa niaba ya vijana wenzake Mwenyekiti wa vijana hao Charles Ngereza kutoka chuo cha uhasibu Arusha amesema kuwa kinachowafanya kumshawishi prof Sos peter kugombea urais ni kutokana na kuwa kiongozi bora kwa wananchi na mtu anayejali matatizo ya wananchikatika kuwapatia huduma
Pia wanasema kuwa amekuwa akiwezesha uchumi kujitegemea na kupinga ulanguzi katika sekta ya uwekezaji pamoja na kutetea vijana katika uwekezaji na kupata ajira.
Vijana hao ambao ni umoja wa vyama vya wanafunzi wa elimu ya juu katika picha kutoka kushoto ni NELSON WILSON MACHUMU ,TUMAIN UNIVARSITY. 2 DAUD HIPOLITY SHAYO CHUO CHA UHASIBU (IAA)3 SARAH AMINIRABI MUSHI ARUSHA UNIVARSITY 4CHARLES NGEREZA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA.5HOBESHI JUVENARY MAKUMIRA UNIVARSITY PAMOJA NA RAHMA YUSUPH SENGEZA CHUOCHA JOMO KENYATA
Comments