Tuesday, March 31, 2015

MISAADA WA MASHUKA HOSPITALI YA MT,MERU

unnamed000
Mwenyekiti wa kikundi cha Upendo Family Group ,Faustine Mwanadago (kushoto)akimkabidhi msaada wa mashuka na maji muuguzi mfawidhi wa hospitali ya mkoa wa Arusha,Mt Meru,Sifael Masawe jana kikundi hicho kilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa hospitalini hapo,jumla ya mashuka 300 na maji katoni 10 zenye thamani ya zaidi ya sh,2 milioni zilikabidhiwa ,anayeshuhudia pembeni ni makamu mwenyekiti wa kikundi hicho,Jasmine Kiure.
picha na mahmoud ahmad)

No comments:

Uwanja wa Ndege wa Kisasa Mikumi Kukamilika Novemba

Na Mwandishi Wetu, Morogoro  Katika kufungua miundombinu zaidi ya utalii nchini, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu ...