Mizengo Pinda akiwa na Bibi Doreene Mkandara na Mwanae Adastus Aporinary ambao ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba na Shirika la Nyumba la Taifa la NHC zilizoko eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu aliembelea August 16, 2014
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa amembeba mtoto Adastus Aporinary, wa Doreene Mkandara (Kulia), alipotembelea mradi wa nyumba za shirika la nyumba nchini NHC, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Doreen ni miongoni mwa wateja waliouziwa nyumba hizo zilizoko eneo la Kibada Kigamboni jijini Dar es salaam
|
Mradi wa nyumba za NSSF, Kigamboni
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa nyumba katika mradi wa DEGE ECO VILLAGE unaomilikiwa na Shirika la NSSF eneo la Kigambaoni
|
Pinda akisalimiana na wajenzi wa daraja la Kigamboni
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam August 16, 2014
|
Waziri Mkuu, Mizewngo Pinda akikagua ujenzi wa daraja la kigamboni jijini Dar es Salaam August 16, 2014
|
Comments