ESTER MATIKU ACHUKUA FOMU KUWANIA UONGOZI NDANI YA CHADEMA Posted by Vempin Media Tanzania on August 26, 2014 Get link Facebook X Pinterest Email Other Apps MBUNGE wa viti maalumu(Chadema)Ester Matiku amejitosa kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (Bawacha) mkoa wa Mara na kuahidi kushughulikia matatizo ya Wanawake yanayowakabili katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na kisiasa. Habari zaidi subili hivi punde.... SOURCE:SHOMI BINDA Comments
Comments