Friday, August 15, 2014

NHC RUKWA YAKABIDHI MASHINE ZA MATOFALI YA KUFUNGAMANA KWA VIJANA WA HALMASHAURI ZA MKOA WA RUKWA

 Vijana wakisilikiliza  kwa umakini maelezo kuhusu mashine za kutengeneza matofali ya kufungamana ambazo zitagawanywa kwenye wilaya zote za Mkoa wa Rukwa  ili kuwezesha vikundi vilivyoanzishwa vya ujenzi vya vijana kuendelea na mafunzo. (Picha zote kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano cha Shirika la Nyumba la Taifa)

 Vijana na wageni waalikwa mbalimbali waliofika katika hafla hiyo fupi wakikagua mashine za kufyatulia tofali za kufungamana jana.
 Vijana na wageni waalikwa mbalimbali waliofika katika hafla hiyo fupi wakikagua mashine za kufyatulia tofali za kufungamana jana.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Ndugu Ferbert Sebastian Ngaponda akichangia katika kikao hicho
 Meya wa Manispaa ya Sumbawanga, Sebastian Katepa akiwahutubia  vijana, watendaji wa Serikali pamoja na waalikwa wengine waliohudhuria hafla hiyo jana.
Meneja wa NHC mikoa ya Rukwa na Katavi, Nehemia Msigwa akiwahutubia Wakuu wa Wilaya, za Mkoa wa Rukwa, Wakurugenzi wa Halmashauri, vijana, watendaji wa Serikali pamoja na waalikwa wengine waliohudhuria hafla hiyo jana.

Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Mathew Sedoyeka akiwahutubia Wakuu wa Wilaya, za Mkoa wa Rukwa, Wakurugenzi wa Halmashauri, vijana, watendaji wa Serikali pamoja na waalikwa wengine waliohudhuria hafla hiyo jana.
 

No comments:

RC CHALAMILA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA WA MANZESE NA HALMASHAURI YA UBUNGO

Dar es Salaam, Julai 12, 2025 — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, leo amehitimisha mgogoro uliodumu kati ya Jumuiya ya W...