PINDA AWASILI MWANZA

PG4A2735
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarest Ndikilo (kulia) na Katibu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza  August 22, 2014 ambako August 23, 2014 anatarajiwa kuongoza  harambee  iliyoandaliwa na Mkapa Foundation. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments