|
Baadhi ya washiriki wa
Mkutano wa Wadau wa Barabara wa Serikali za Mitaa wakimsikiliza Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua mkutano wao kwenye hoteli ya Ngurdoti,
Arusha
|
Waziri Mkuu. Mizengo Pinda
akisalimiana na Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Jumanne
Sajini baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Kilimanjaro August 17, 2014 na atafungua Mkutano wa Wadau wa
barabara wa Serikali za Mitaa kwenye hoteli ya Ngurdoto Arusha
August 18, 2014. Katikati ni Waziri wa TAMISEMI , Hawa Ghasia
|
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akikagua uzalishaji nonda katika kiwanda cha Kamal Steel Limited cha
Chang'ombe jijini Dar baada ya kuzindua upanuzi wa kiwanda hicho, August 17,
2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa kiwanda, Gagan Kamal
|
Waziri Mkuu Mizengo Pinda,
akinyanyua mkasi juu kuashiria kuzinduliwa rasmi kwa upanuazi wa kiwanda cha
kutengeneza nondo cha Kamal Steels Limited cha jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki.Wegine Mwenyekiti wa kiwanda
hicho Bw. Gagan Gupta (katikati ) na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bw. Said
Meck Sadick kushoto. (Picha zote na Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Comments