Friday, August 29, 2014

MKURUGENZI WA ZAMANI WA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS), CHARLES EKELEGE ATUPWA JELA MWAKA MMOJA KWA KOSA LA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA

 Charles Ekelege akiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana ambapo alihukumiwa kutumikia kifungo cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka na kulipa faini ya sh.milioni 68.
 Hapa Ekelege akiwa amekaa nje ya Mahakama hiyo na familia yake  kabla ya kuhukumiwa. Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
 Ekelege akiteta jambo na familia yake akiwa Mahakamani hapo.
 Askari polisi akiwa na familia ya Ekelege (wa pili kulia), wakati akitoka kwenye mahakama hiyo.
Ekelege akiteta jambo na kijana aliyedaiwa kuwa ni mtoto wake.

No comments:

RC CHALAMILA AMALIZA MGOGORO WA WAFANYABIASHARA WA MANZESE NA HALMASHAURI YA UBUNGO

Dar es Salaam, Julai 12, 2025 — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, leo amehitimisha mgogoro uliodumu kati ya Jumuiya ya W...