MAGWIJI WA REAL MADRID WAZINDUA DUKA JIPYA LA VIFAA VYA UMEME LA TROPICAL LILILOPO VICTORIA KINONDONI DAR

1 (13)Muonekano wa Jengo la Makao Makuu ya Kampuni ya Tropical.2 (12)Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), akisalimiana na mwanasoka bora  mstaafu wa timu ya Real Madrid, Fernando Sons (kushoto), baada ya kufika na wenzake kuzindua duka jipya la vifaa vya umeme la Tropical lililopo maeneo ya Victoria Kinondoni Dar es Salaam jana. Katikati ni Christian Karembeu.3 (11)Wakurugenzi wa Kampuni ya Tropical wakiwa na wacheza hao wakati wa sherehe hizo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji, Aloyce Ngowi na Kulia ni Meneja Mkuu, Charles Mlawa.4 (9)Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto), akiwa na wageni waalikwa. Wa pili kushoto ni Balozi wa Zambia nchini.5 (6)Warembo watoa huduma katika duka hilo wakiwa katika picha ya pamoja.6 (1)Wapiga picha kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakipiga picha na wachezaji hao.7
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kulia), akigongesha glasi na wachezaji wastaafu wa timu ya Real Madrid, wakati wa hafla ya uzinduzi wa duka  jipya la vifaa vya umeme la Tropical lililopo maeneo ya Victoria Kinondoni Dar es Salaam.
NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWEBLOG

Comments