Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Rais Kikwete akihutubia umati wa maelfu ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na wazee wa mji wa gairo waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Rais Kikwete akiagana na baadhi ya wananchi waliojitokeza kumsikiliza kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Mmoja wa wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro akichukua kumbukumbu wakati wa kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Sehemu ya maelfu ya wananchi waliofurika kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kumsikiliza Rais Kikwete alipowahutubia kwenye mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Mbunge wa Gairo Mhe. Ahmed Mabhut Shabiby akimkaribisha Rais Kikwete kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014Rais Jakaya Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi alipowasili kwenye uwanja wa mkutano wa mji wa Gairo mkoani Morogoro kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 26, 2014
Comments