Wednesday, August 20, 2014

MATUKIO YA PICHA KAMATI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

DSC04200 - Copy
Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kuhusu mambo yaliyojiri katika Kamati yake jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma. Kulia ni Makamu wake Mhe. Assumpter Mshama.
  ???????????????????????????????
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati Namba Tano ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Hamad Rashid, ambaye hayupo pichani wakati  akizungumza mambo yaliyojiri katika Kamati yake akwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.
IMG_9260
Mwenyekiti wa Kamati  Namba 12 ya Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Paul Kimiti (katikati) akijadiliana jambo  na baadhi ya wajumbe wa Kamati yake yake  kwenye ukumbi wa mikutano wa Hazina mjini Dodoma.
Picha na Kamati ya Bunge Maalum la Katiba.

No comments:

RAIS DKT. MWINYI: TAMASHA LA KIZIMKAZI NI JUKWAA LA UTAMADUNI, UTALII NA FURSA ZA UWEKEZAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Tamasha la Kizimkazi limeendelea kuwa jukwaa mu...