Thursday, August 14, 2014

PINDA AADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA

PG4A0074
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akigonganisha glasi na mjukuu wake Nicole katika mkusanyiko mdogo  na mfupi  sana wa kifamilia wa  kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake  kwenye makazi yake  kwenye hoteli ya Stella Maris mjini `Dodoma August 12, 2014. Wengine pichani ni binti zake, Namsi (kulia) na Yusta. (Picha

No comments:

WANANCHI KAHAMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KUWAFIKISHIA UMEME WA REA

  📌Vijiji vyote 246 na Vitongoji 479 Kahama vimefikiwa 📌Shughuli za kiuchumi na kijamii zimeimarika 📌Naibu Waziri Salome awahakikishia vi...