Tuesday, August 12, 2014

Mtaalamu wa sheria na Mkuu wa Shule Kuu ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Profesa Bonaventure Rutinwa Atoa Ufafanuzi Kuhusu Suala la Uraia Katika Kamati Namba tano ya Bunge Maalum la Katiba

Profesa Bonaventure Rutinwa(kulia) ambaye ni mtaalamu wa sheria na pia Mkuu wa Shule Kuu ya Sheria katika Chuo  Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) akitoa ufafanuzi kuhusu suala la uraia katika Kamati namba tano ya Bunge Maalum la Katiba leo kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Hamad Rashid.Picha na  Kamati ya Bunge Maalum la Katiba

No comments:

TANZANIA INA FURSA KUBWA YA KUENDELEZA NISHATI YA JOTOARDHI; WAZIRI NDEJEMBI ALIELEZA BARAZA LA IRENA

šŸ“ŒAsisitiza ushirikiano wa taasisi za kifedha na Jumuiya za Kimataifa hasa katika hatua za utafiti šŸ“ŒAkaribisha wawekezaji; Asema Serikali i...