Wednesday, August 06, 2014

PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO

MKUU WA WILAYA YA LINDI MJINI DOKTA HAMID NASSORO (KATIKATI)  AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA BANDA LA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI, (WAPILI KULIA) NI AFISA MAKOSO WA PSPF RAHMA NGASSA. (KUSHOTO) NI OMARI KALILO AFISA MFAWIDHI WA PSPF MKOA WA LINDI.
BALOZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MRISHO MPOTO “MJOMBA” AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MASOKO WA PSPF, RAHMA NGASSA WAKATI AKITOA BURUDANI KWENYE  MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI
MENEJA MIRADI MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, MASOUD AKITOA MAELEZO KWA WATU MBALIMBALI WALIOTEMBELE
A BANDA LA PSPF KWENYE MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI.

No comments:

RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIHISTORIA URUSI, KUITANGAZA TANZANIA YA DIRA YA MAENDELEO 2050

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa w...