Wednesday, August 06, 2014

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

 Afisa Mauzo, Deogratius Batakanwa na Afisa Masoko Chediel Msuya wa NHC wakiwaelimisha Maafisa wa TFDA juu ya utaratibu wa kumiliki nyumba za NHC. Maafisa hao walifika katika banda la maonyesho la NHC kufahamu shughuli za Shirika la Nyumba na utaratibu wa manunuzi ya nyumba.
 Wageni mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa maafisa wa shirika la nyumba la taifa
 Banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa lililopo katika viwanja vya Ngongo, vilivyopo nje kidogo ya mji wa Lindi mkoani Lindi.
Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi.(Picha zote kwa Hisani ya Shirika la Nyumba la Taifa)

No comments:

WIZARA YA AFYA YAOMBA SH. TRILIONI 1.8 BAJETI YA 2026/2027

  Wizara ya Afya imeomba kuidhinishiwa jumla ya Shilingi trilioni 1.8 kwa mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kuendelea kuboresha huduma z...