Monday, August 04, 2014

MICHAEL RICHARD WAMBURA NA WENGINE 72 WAFUKUZWA UANACHAMA SIMBA SC

wamburaKLABU ya Simba imefanya mkutano mkuu wa wanachama jana katika ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Osterbay jijini Dar es salaam kujadili masuala mbalimbali ya klabu hiyo.
Mkutano huo ni wa kwanza tangu viongozi wapya chini ya Rais Evans Eliaza Aveva na makamu wake Geofrey Nyange ‘Kaburu’ waingie madarakani juni 29 mwaka huu.
Agenda za mkutano huo zilitangazwa jana na Agenda ya 11 ambayo ilihusu wanachama 72 waliosimamishwa uanachama na kamati tendaji ilitegemewa kuwa ya vuta ni kuvute.
Kusoma zaidi bofya www.bkmtata.blogspot.com

No comments:

KUSANYENI KODI NA MADENI BILA KUOGOPA MTU YEYOTE– WAZIRI AKWILAPO ASEMA AKIZINDUA BODI MPYA YA NHC

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Leonard Akwilapo, akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),...