Monday, August 11, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA MITAALA KWA VYUO VYA KIISLAM, MJINI MOROGORO.

1
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili katika ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
2
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake  wakati akiwasili wa ufunguzi wa Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
3
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
4
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
5
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais, wakati akiwahutubia kwenye ufunguzi.
6
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti matunda aina ya Shokishoki, kwa kumbukumbu baada ya kufungua rasmi  Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR
7
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Professa wa Chuo cha Sokoine, Ally Aboud, kuhusu ufugaji wa njia raihisi na gharama nafuu wa Samaki baada ya kufungua rasmi Kongamano la Kimataifa kuhusu Mitaala kwa Vyuo vya Kiislam lililozinduliwa juzi Agosti 09, 2014 katika chuo Kikuu cha Kiislam Morogoro. Katikati ni Ramadhan Dau Mkurugenzi wa NSSF. Picha na OMR

No comments:

Tanzania na Rwanda Zaimarisha Ushirikiano kwa Kusaini Hati Mbili za Makubaliano

Mkutano wa 16 wa Tume ya Kudumu ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Rwanda umefungwa rasmi ...