Monday, August 11, 2014

BENKI YA EXIM YAUNGA MKONO KONGAMANO LA BADILISHA FIKRA

EXIM YOUTH CAMP PIX 3
Wafanyakazi wa idara ya mauzo wa Benki ya Exim Tanzania (kulia) wakizungumza na baadhi ya vijana waliotembelea banda la benki hiyo juu ya huduma zitolewazo na benki wakati wa kongamano la ‘Badilisha Fikra’ lililoambatana na maonyesho mbali mbali iliyoandaliwa na Taasisi ya Kimataifa ya Vijana (International Youth Fellowship) jijini Dar es Salaam hivi karibuni. (Picha na mpiga picha wetu).

No comments:

RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIHISTORIA URUSI, KUITANGAZA TANZANIA YA DIRA YA MAENDELEO 2050

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa w...