Monday, August 04, 2014

ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA CHAMAZI, PONGEZI KWA JESHI LA POLISI

 Askari feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la Polisi Kumtia nguvuni Katika Eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam 
  Askari Polisi ambae jina lake halikufahamika mara moja (Mwenye sweta) akimkamata kwa makini mtuhumiwa aliyejifanya askari wa usalama barabarani jana katika eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam
 Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania. Picha Kwa Hisani ya Mdau.

No comments:

KASI YA UJENZI WA RELI YA SGR IMEONGEZEKA – PROF. MBARAWA

  Wahudumu wa ndani (Train crew) wa shirika la reli Tanzania (TRC) upande wa Standard Gauge Railway (SGR) wamehudhuria Bungeni Jijini Dodoma...