Friday, January 08, 2016

SAZI SALULA KATIBU MKUU WA ZAMANI OFISI YA MAKAMU WA RAIS AKABIDHI OFISI

SAL1
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula (katikati), akikabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu mpya , Bwana Mbarak Abdulwakil jijini Dar es Salaam leo, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu mpya Mhandisi Ngosi Mwihava. (Picha na OMR)
SAL2
Aliyekuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bwana Sazi Salula (kushoto), akikabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu mpya Bwana, Mbarak Abdulwakil jijini Dar es Salaam. (Picha na OMR)
Post a Comment