Thursday, January 21, 2016

RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI LEO

Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Asha Rose Migiro akimhudhurisha Shahada ya Falsafa ya Udaktari ya Heshima, Mwenyekiti wa CC, Rais Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, katika mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika jana, Kampasi ya Kinondoni, Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

No comments:

RC ARUSHA APOKEA UJUMBE WA MABUNGE DUNIANI (IPU)

  . Kufanya Mkutano wa Mabunge Mkoani Arusha  .Wajumbe zaidi ya 1500 kutoka nchi wanachama wa IPU kuhudhuria  . Rais Dkt. Samia apendekezwa ...