Monday, January 18, 2016

Mkurugenzi viwanja vya ndege afariki akiogelea



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) Suleiman Said amefariki dunia alipokuwa akifanya mazoezi ya kuogelea na wenzake katika bahari ya Hindi.
Mhandisi Suleiman alikuwa na utaratibu wa kuogelea kila siku asubuhi kabla ya kwenda kwenye shughuli zake mbalimbali.
Taratibu za mazishi zinafanyika na atazikwa leo jioni ya ya leo majira ya saa kumi jioni katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es salaam.

No comments:

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...