Tuesday, January 26, 2016

MAJALIWA ATOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWANASHERIA WA BUNGE

kas1
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda  nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kas2
Waziri  Mkuu  Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa  baada ya kutoa heshima za mwisho kwa  aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kas3
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
kas4
Baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Ujumbe wa DRC watoa msaada kituo cha wakimbizi NMC - Kigoma

  Waziri wa Nchi, anayeshughulikia  Masuala ya Ustawi wa Jamii, Hatua za Kibinadamu na Mshikamano kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (D...