Skip to main content
TAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2015 HAPA
Matokeo ya kidato cha pili yaliyotangazwa na Baraza la mitiani (NACTE) yameonyesha mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Iringa imetoa Shule 10 bora huku shule 10 zilizofanya vibaya zimetokea katika mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara.
Comments