Friday, January 22, 2016

MAZISHI YA BI ASHA BAKARI MAKAME YAFANYIKA LEO


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiitikia dua baada ya kumsomea hitma Marehemu Asha Bakari Makame iliofanyika katika Masjid Noor-Muhammad kwa Mchina Unguja 
WANANCHI wakishiriki katika dua ya kumuombea marehemu Asha Bakari Makame katika Masjid Noor-Muhammad kwa mchina.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiweka udongo kaburini
Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gharib Bilal akiweka udongo kaburini
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe Maalim Seif Shariff Hamad akiweka udongo kaburini.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Post a Comment