MAKAMU MWENYEKITI WA CCM (BARA) AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA CHINA LUMUMBA

 Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi  wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM (NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na maofisa wengine wa Chama. 

  MAKAMU
Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip  Mangula,  akizungumza na  Mchambuzi
wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa
Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo,  kwenye
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo
Lumumba., Dar es Salaam,. Kushoto ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM
(NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro.
 Mchambuzi
wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa
Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, aliyeongoza ujumbe wa watu sita kutoka nchini humo, akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)  kwenye
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa NEC, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo
Lumumba., Dar es Salaam,. Kulia ni  Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM
(NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro pamoja
na maofisa wengine wa Chama,.
 Mchambuzi
wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa
Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, akimkabidhi zawadi Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndugu Philip Mangula mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
 Mchambuzi
wa masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa
Kamati ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, akimkabidhi zawadi
 Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM
(NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha-Rose Migiro 
mara baada ya kumaliza mazungumzo yenye nia ya kuimarisha
uhusiano kati ya Serikali ya Watu wa Jamhuri ya China na Tanzania.
Makamu Mwenyekiti
wa CCM (Bara), Ndugu Philip  Mangula,  akiwa kwenye picha ya pamoja nje ya Makao Makuu ya CCM, Ofisi Ndogo Lumumba na  Mchambuzi  wa
masuala ya Siasa   na Taluma  za Jamii  na Naibu Mkurugenzi  wa Kamati
ya Maendeleo  ya Jamii katika Wizara  ya Elimu nchini China, Gu
Hailiang, na Mjumbe wa Halmshauri Kuu ya CCM
(NEC)  ,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa,  Dk. Asha Rose Migiro pamoja na wajumbe wengine kutoka China. 

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Comments