MWANAHABARI WA ITV BW. SPENSOR LAMECK ALAMBA NONDO CHUO CHA DIPLOMASIA

1
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akihutubia jana wakati wa mahafali ya Chuo cha Diplomasia yaliyofanyika jana chuoni hapo Kurasini jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wahitimu wa shahada mbalimbali, Wahadhiri na wageni waalikwa ambapo mmoja wa Mwanahabari kutoka kituo cha Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck alikuwa ni mmoja wa wahitimu.
2
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akiwa katika jukwaa kuu na viongozi mbalimbaliwa chuo hicho pamoja na wahadhiri wakati wa mahafali hayo.
6
Mwanahabari kutoka kituo cha Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck akipata picha ya pamoja na wahitimu wenzake wakati wa mahafali hayo.
78
Mwigizaji wa filamu Christina Manongi maarufu kama Sinta kulia akiwa na mhitimu mwenzake wakati wa mahafali hayo.
910
Mwanahabari kutoka kituo cha Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck akipata picha ya pamoja  na Christina Manongi maarufu kama Sinta kulia na mhitimu mwenzao.

Comments