PATA CHAI YA PAMOJA NA WANAHABARI KATIKA HAFLA YA KUKARIBISHA MWAKA MPYA

Meneja Masoko wa Multichoice Tanzania, Furaha Samalu akiwaongoza wanahabari kupata chai maalum iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuukaribisha mwaka mpya pamoja na kufahamiana zaidi ikiwemo huduma na utendaji kazi kwa hapa nchini. 

(Picha zote na Andrew Chale, modewjiblog).

Baadhi ya wanahabari wakiwa katika shughuli hiyo maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na MultChoice Tanzania ambao ni wasambazaji wa ving'amuzi vya DSTV kwa Tanzania.
Baadhi ya wanahabari wakipata Chai katika shughuli hiyo maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na MultChoice Tanzania ambao ni wasambazaji wa ving'amuzi vya DSTV kwa Tanzania.

Comments