Thursday, January 21, 2016

NEWS ALERT: JPM AMSIMAMISHA KAZI KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasimamisha kazi Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bwana Sylvester Ambokile na Kamishna wa Uhamiaji anayeshughulikia Utawala na fedha Bwana Piniel Mgonja ili kupisha uchunguzi, kufuatia dosari alizozibaini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa Charles Kitwanga alipotembelea Idara ya Uhamiaji hivi karibuni.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA AMUAPISHA DKT. MWIGULU KUWA WAZIRI MKUU WA TANZANIA

Katika hafla yenye utofauti, heshima na hamasa mpya kwa Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan , leo ...