DTB YAAGA MWAKA KWA STYLE YA KIPEKEE



Wafanyakazi wa Tawi la Benki ya DTB Makao Makuu wakiwa katika picha ya pamoja baada ya tawi lao kupata tuzo ya Tawi Bora Tanzania 2015 kati ya matawi 24 ya benki hiyo ambapo 10 yapo Dar es Salaam na 14 mikoani. Meneja wa Tawi hilo, Shahista Karim (katikati) akiwa ameshikilia tuzo hiyo aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mkuu (hayupo pichani) katika sherehe za kufunga mwaka zilizofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Ledger Plaza ulioko Bahari Beach.
PITON CHINI: Wanawake wa benki ya DTB wakicheza muziki wa asili katikasherehe za kuaga mwaka katika usiku uliokuwa na kauli mbiu ya ‘Usiku wa Afrika’.Sherehe hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Ledger Plaza ulioko katika Hoteli ya BahariBeach jijini Dar es Salaam. Kati ya mambo ambayo sherehe hiyo ilisherehekea nipamoja na kutambua mafanikio benki hiyo ilipata katika mwaka 2015. Kati ya matawi yote 24 nchini, Tawi la Masaki na lile la Makao makuu yaliibuka washindina kujizotea tuzo. DTB ina matawi 10 Jijini Dar es Salaam na 14 mikoani.

Buddha ya washiriki wakipakua chakula katika ghafla hiyo

Dance ilisakatwa chapati maelezo, JUU na CHINI baadhi ya wafanyakazi wa DTB kutoka katika matawi mbalimbali ya Benki hiyo wakiwajibika ipasavyo
KWA HISANI YA IMMA MATUKIO

Comments