Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa Habari wa UNESCO Bi. Nancy Kaizirege (mwenye nguo ya dhambarau).
PICHA NA FRANK SHIJA, WHUSM
Comments