Thursday, January 14, 2016

MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA MIRADI YA UBIA KATIKA UJENZI WA MIUNDOMBINU KATI YA JAPAN NA TANZANIA

BIA3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi  wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
BIA4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi , Miundombinu, Uchukuzi, na Utalii wa Japan, Bw. Takatoshi Nishiwaki baada ya kufungua  mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi  wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujwnzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

MMUYA: WANANCHI WANUFAIKE NA UWEKEZAJI WA NHC KUPITIA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maghala unaotekelezwa na S...