
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura aliyenyoosha mkono akiongea na baadhi ya wasanii waliojenga katika kijiji cha Wasanii na wanahabari kilichopo Wilayani Mkuranga wakati ya ziara aliyofanya ya kujionea shughuli za maendeleo ya sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Wilayani humo. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdalla Ulege akiongea na wakazi wa jimbo lake wakati wa ziara ya Naibu Waziri, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura ya kujionea shuguli za maendeleo ya sekta hiyo. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Mwenyekiti wa mtandao wa wasanii (SHIWATA) Bw. Cassim Talib katikati akimuonyesha baadhi ya nyumba za wasanii na wanahabari zilizopo Wilayani humo Mh. Anastazia Wambura wa kwanza kushoto wakati ya ziara ya kujionea shughuli za maendeleo ya sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Wilayani humo., kulia ni msanii wa sanaa za maigizo maarufu kama mzee Chilo. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akisalimiana na Mbunge wa Rufiji Mh. Allyseifu Ungando wakati wa ziara ya kujionea maendeleo ya sekta ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wilayani humo. (Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)
No comments:
Post a Comment