BONNA TRUST FUND YAZINDUA KAMPENI YA MAZINGIRA BORA KWA ELIMU BORA
Mwanamitido wa Kimataifa, Flaviana Matata akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora yenye lengo la kufanikisha maendeleo ya elimu katika Jimbo la Segerea kwa kusaidia kununua madawati, kuchimba matundu ya vyoo, kuchimba visima vya maji na kujenga vyumba maalum vya watoto wa kike, chini ya uratibu wa Mfuko wa Udhamini wa Elimu wa Bonnah (BETF), jijini Dar es Salaam jana. Wengine pichani ni mwandaaji wa kampeni hiyo ambaye ni Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa na Mratibu wa Elimu Josephat Peter.

Mbunge Bonnah Kaluwa na wenzake wakifurahia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Wadau wa habari wakichukua matukio wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya Mazingira Bora kwa Elimu Bora.
Wageni waalikwa kutoka Jimbo la Segerea wakiwepo wananchi wa kawaida wakifuatilia tukio la uzinduzi wa kampeni hiyo.
Ofisa wa BETF Shamsudin Ahmed akifafanua jambo kuhusu kampeni hiyo ya elimu.
No comments:
Post a Comment